PATA UFANISI NA JUSTMARKETS

Shirikiana na jukwaa la biashara
linaloongoza lililoundwa kwa ufanisi wa muda mrefu

Kuwa mshirika wetu na ufurahie mojawapo ya malipo ya juu kwenye sekta hii kwa
kila biashara inayofanywa na wateja uliowaelekeza kwenye jukwaa.

2698.72
4732.80

Kamisheni za mshirika za kiwango cha juu

Pata zaidi kutoka katika kila biashara na uongeze faida yako wakati wa mabadiliko ya ghafla
ya bei kupitia mojawapo ya kamisheni bora zaidi kwenye soko.

hadi
$19.45 Dhahabu
hadi
$8.95 Bitcoin
hadi
$8.45 Kuu
hadi
$191.7 Viashiria

Mbona uwe Broka Mtambulishi

Tambua uwezo wako wa kupata mapato na Programu ya IB yetu inayoongoza kwenye sekta.

Malipo ya kila siku na utoaji pesa wa papo hapo
Malipo rahisi ya kila siku na utoaji pesa kupitia mifumo yetu maarufu ya malipo.
Broka wa kimataifa anayeaminika
Broka anayetambulika duniani na amekuwa akitenda kazi kwa ufanisi kwa zaidi ya miaka 13 katika zaidi ya nchi 160+.
Dashibodi ya mshirika kwenye simu janja yako
Fuatilia takwimu za mfanyabiashara uliyemwalika na udhibiti mapato yako wakati wowote, mahali popote.
Takwimu za kina za wakati halisi
Fikia takwimu za kina za wakati halisi kwa kila muamala wa mteja kwenye Eneo la Mshirika lako.
Aina mbalimbali za zana na vifaa vya utangazaji wa biashara
Aina mbalimbali za zana na vifaa vya utangazaji biashara za kukusaidia katika juhudi zako za utangazaji wa biashara.
Mfumo wa kiotomatiki wa kurejesha fedha
Uvutiaji rahisi wa wateja kutumia mfumo wetu wa kiotomatiki wa kurejesha fedha unaokuruhusu kuwalipa sehemu ya kamisheni yako ya mshirika.
Usaidizi wa mteja 24/7
Je, una swali? Kuna jibu kila mara na usaidizi wa kitaaluma.

Tazama kiasi unachoweza kupata kwetu
ukilinganisha na mabroka wengine

Kwa mfano, uliowaelekeza wakiweka amana ya $500, mapato yako yatakuwa ifuatavyo

Programu ya IB JustMarkets X* Ex**** HF* Oc****
Weka pesa ($) $500 $500 $500 $500 $500
Mtaji 1:3000 1:1000 1:2000 1:2000 1:1000
Fungu (loti $/1) $36 $55.1 $39.2 $40.4 $43.8
Kiwango cha juu zaidi cha loti kinaweza kufunguliwa 2.9 loti 1.0 loti 2.0 loti 2.0 loti 1.0 loti
Kamisheni ya kiwango cha juu zaidi ya mshirika 45% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $17 40% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $15 kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $12
Mipaka ya Biashara* Hakuna vizuizi Dakika 3 za MTM Hakuna vizuizi Dakika 2 za MTM Dakika 3 za MTM
pips 30 za MTP
Kura zilizolipwa kwa sababu ya vikwazo (%) 100% 55% 100% 75% 45%
Faida ya mshirika ($)
$47.55
$9.15 (-$38.41)
$30.68 (-$16.87)
$22.02 (-$25.54)
$5.28 (-$42.27)
Programu ya IB JustMarkets X* Ex**** HF* Oc****
Weka pesa ($) $500 $500 $500 $500 $500
Mtaji 1:500 1:500 1:400 1:500 1:25
Fungu (loti $/1) $16.59 $50 $18 $62 $25.33
Kiwango cha juu zaidi cha loti kinaweza kufunguliwa 2.39 loti 2.39 loti 1.91 loti 2.39 loti 0.12 loti
Kamisheni ya kiwango cha juu zaidi ya mshirika 45% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $20 40% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $20 kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $12
Mipaka ya Biashara* Hakuna vizuizi Dakika 3 za MTM Hakuna vizuizi Dakika 2 za MTM Dakika 3 za MTM
pips 30 za MTP
Kura zilizolipwa kwa sababu ya vikwazo (%) 100% 64% 100% 72% 64%
Faida ya mshirika ($)
$17.81
$30.54 (+$12.73)
$13.74 (-$4.07)
$34.36 (+$16.55)
$0.92 (-$16.90)
Programu ya IB JustMarkets X* Ex**** HF* Oc****
Weka pesa ($) $500 $500 $500 $500 $500
Mtaji 1:3000 1:1000 1:2000 1:2000 1:1000
Fungu (loti $/1) $9.2 $20.2 $8.7 $18.46 $9.2
Kiwango cha juu zaidi cha loti kinaweza kufunguliwa 12.91 loti 4.30 loti 8.61 loti 8.61 loti 4.30 loti
Kamisheni ya kiwango cha juu zaidi ya mshirika 45% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $9 40% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $10 kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $12
Mipaka ya Biashara* Hakuna vizuizi Dakika 3 za MTM Hakuna vizuizi Dakika 2 za MTM Dakika 3 za MTM
pips 30 za MTP
Kura zilizolipwa kwa sababu ya vikwazo (%) 100% 87% 100% 90% 64%
Faida ya mshirika ($)
$53.47
$33.71 (-$19.76)
$29.96 (-$23.50)
$77.49 (+$24.02)
$33.06 (-$20.40)
Programu ya IB JustMarkets X* Ex**** HF* Oc****
Weka pesa ($) $500 $500 $500 $500 $500
Mtaji 1:500 1:500 1:400 1:500 1:400
Fungu (loti $/1) $2.6 $2.43 $2.19 $2.41 $2.5
Kiwango cha juu zaidi cha loti kinaweza kufunguliwa 10.07 loti 10.07 loti 8.05 loti 10.07 loti 8.05 loti
Kamisheni ya kiwango cha juu zaidi ya mshirika 45% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $0.65 40% kutoka kwa fungu kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $1.4 kiwango cha kudumu kwa kila loti cha $1
Mipaka ya Biashara* Hakuna vizuizi Dakika 3 za MTM Hakuna vizuizi Dakika 2 za MTM Dakika 3 za MTM
pips 30 za MTP
Kura zilizolipwa kwa sababu ya vikwazo (%) 100% 61% 100% 75% 40%
Faida ya mshirika ($)
$11.78
$3.99 (-$7.79)
$7.06 (-$4.72)
$10.57 (-$1.21)
$3.22 (-$8.56)

*Programu za IB zenye muundo “Usiobadilika katika kila loti” zina vizuizi kama vile Dakika za Chini za Biashara (MTM) au Pointi za Chini za Biashara (MTP). Kwa sababu ya vizuizi hivi, kamisheni ya mshirika hailipwi kwa oda zilizokuwa wazi kwa dakika zilizo chini ya kiwango cha chini cha idadi ya dakika zinazohitajika na/au haikufikia idadi ya chini ya pips zinazohitajika. Programu ya IB yenye muundo wa “% kutoka kwa tofauti ya bei” haina vizuizi kama hivyo — kamisheni ya mshirika inalipwa kwa oda 100%.

Washawishi wa kimataifa wanaoaminika

Jiunge na mtandao wa kimataifa wa washirika wakuu na washawishi wanaopata mapato na JustMarkets.

Washirika wa kimataifa
180,000+
Nchi zinazojumuishwa
160+
Kamisheni ya wastani
$25,000+
Malipo ya juu ya kila mwezi
$856,346

Kwa nini wafanyabiashara wanatuchagua sisi

Tambua masharti yetu ya biashara yaliyo bora zaidi sokoni.

Utoaji Pesa wa Papo Hapo
Ufikiaji rahisi wa fedha zako mahali popote, wakati wowote.
Biashara isiyo na malipo ya usiku
Hakuna kutozwa malipo ya usiku kwa wateja wote.
Tofauti ya bei ya chini na dhabiti
Biashara dhabiti yenye tofauti ya bei isiyobadilika kwa urhisi kuanzia pips 0.
Usaidizi wa moja kwa moja 24/7
Je, una swali? Kuna jibu kila mara na usaidizi wa kitaaluma.
Utekelezaji wa haraka
Utekelezaji wa oda unachukua tu sehemu ya sekunde.
Hakuna kamisheni
Fanya biashara bila kamisheni kwenye akaunti zetu za Pro na Standardo.

Anza kupata mapato kwa hatua 3 rahisi

Elekeza wateja kwenye jukwaa na ukuze mtandao wako ulimwenguni kote.

1
Jisajili
Chukua hatua ya kwanza ya kukuza biashara yako na ujisajili kama mshirika wa IB wa JustMarkets.
2
Vutia wateja
Tambulisha wateja wapya kwa JustMarkets ukitumia kiungo chako cha mshirika.
3
Pata kamisheni
Pata kamisheni ya kila siku kutegemea shughuli ya wateja uliowaelekeza kwenye jukwaa.

Kuwa mshirika wa JustMarkets leo!

Anza kupata mapato kwa kuelekeza wafanyabiashara kwenye jukwaa na ukuze mtandao wako ulimwenguni kote.

Maswali yanayoulizwa mara nyingi

1
Ninawezaje kuwa mbia wa JustMarkets?

Kuwa mbia wa JustMarkets ni rahisi, jisajili tu, nenda kwenye eneo la Ubia, nakili na ushiriki kiunganishi cha mbia ili kuvutia mteja wa kwanza utakayemwalika.

2
Ninaweza kupata wapi kiunganishi changu cha mbia na ninaweza kukitumia jinsi gani?

Kiunganishi cha mshirika kinaweza kupatikana kwenye ukurasa wa Dashibodi, katika Zana za Usajili, au ukurasa wa Nyenzo za Promosheni katika eneo la Ubia.

Kiunganishi cha mbia kinafanyaje kazi?

  • Shiriki kiunganishi chako cha mwaliko
  • Watumiaji wanakuwa wateja
  • Wateja wanafanya biashara
  • Unapata zawadi

3
Je, ni vikundi gani vya zana ambazo mnalipa kamisheni kwa mbia?

Tunalipa kamisheni 45% kutoka kwa spread kwa vikundi vyote vya zana, kama vile fedha za kigeni, chuma, fahirisi, hisa, na bidhaa. Mapato ya kina ya mbia yanaweza kupatikana katika eneo la Ubia.

4
Ni mara ngapi kamisheni huwekwa kwenye akaunti yangu ya mbia na ninawezaje kuitoa?

Tunalipa kamisheni kwa akaunti za wabia kila siku. Inaweza kutolewa wakati wowote unapotaka.

5
Ninaweza kuona wapi wateja ambao nimewaalika na takwimu zao?

Unaweza kupata ripoti za kina kuhusu takwimu zote za mteja wako katika eneo lako la ubia. Fuatilia utendaji wako na usimamie historia yako ya malipo.

6
Je, mna nyenzo zozote za promosheni ambazo zinaweza kunisaidia kuvutia wateja?

Tunatoa zana zote unazohitaji ili kukuza na kupanua mtandao wako:

  • Mabango ya matangazo yenye matokeo
  • Kurasa maalum za tovuti
  • Video, GIF na nembo

Kila kitu kinaweza kupatikana katika sehemu ya Nyenzo za Promosheni katika eneo la Ubia.

7
Je, kuna njia nyingine yoyote ya kupokea faida ya ziada zaidi ya kamisheni unayopokea unapokuwa mbia na JustMarkets?

Bila shaka! Unaweza kupata zawadi zenye thamani kama vile likizo za kimataifa, magari ya hadhi ya juu, na dola 200,000 za Marekani kwa kushiriki katika Mpango wa Ushikamanifu wa Mbia.